Esther Matiko: Unapoingia Segerea unavuliwa nguo zote, unaambiwa "unakaguliwa na hata kama ni Mama utaruka kichurachura"

Mimi mwenyewe niliacha jeshi kwa sababu kama hizo eti siku ya interview unavua nguo zote unainamishwa unakaguliwa kwenye makalio kama nywele za makalio zipo.

Tanzania bado baadhi ya taasisi zina mifumo ya ajabu sana.

Get your popcorn and enjoy! 🍿​
 
Hizo pesa badala ya kununua mashine za x-rays na madawa ili kupunguza vifo vya watanzania ukanunua mashine ya kumpekulia huyo Esta,watu wajifunze kutii sheria bila shuruti kama hao BAVICHA na kuachana na matendo ya kihalifu huko gerezani hawaendi kwa bahati mbaya bali ni ununda wao waendelee kupekuliwa hivyo hivyo ili wajiepushe na matendo yanayopelekea kupelekwa segerea.
 
Mimi mwenyewe niliacha jeshi kwa sababu kama hizo eti siku ya interview unavua nguo zote unainamishwa unakaguliwa kwenye makalio kama nywele za makalio zipo.

Tanzania bado baadhi ya taasisi zina mifumo ya ajabu sana.
Kumbe huwa inakuwa hivi! Ndio maana hawa jamaa hata UJASIRI wa kufanya mapinduzi huwa hawana.
 
Naona unatumia wanzuki ndiyo maana hata kilicho andikwa hukukiona.

Matiko kashauri zinunuliwe mashine ziwe mbadala wa maaskari kuwapekua kwa kuwavua nguo.
 
Naona unatumia wanzuki ndiyo maana hata kilicho andikwa hukukiona.

Matiko kashauri zinunuliwe mashine ziwe mbadala wa maaskari kuwapekua kwa kuwavua nguo.

Unajua madhara y mionzi ya kuscan mwili katika kubadili mfumo na mpangilio na lugha ya Gene? nazungumzia codon na ant codon na mpangilio au unabwabwaja na bila tafiti ninyi mliokimbia kusoma.sayansi sasa mnabwabwaja kwenye mitandao tuu?
 
Kwahiyo hutaki au?
 
Ameshauri zifungwe mashine maalumu za ukaguzi....

Na kwa Nini wasifunge mashine za ukaguzi kama za pale uwanja wa ndege... Ukiwa na kakitu ka dogo tu zinapiga kelele...
 
Ameshauri zifungwe mashine maalumu za ukaguzi....

Na kwa Nini wasifunge mashine za ukaguzi kama za pale uwanja wa ndege... Ukiwa na kakitu ka dogo tu zinapiga kelele...
Hazitakiwi kasome effects ya radiation kwenye genes
 
Kwa vile hayajakupata unaona ni sawa kwa wenzio
 
Mh. Matiko kwahiyo alikuwa katika siku zake wakati anapekuliwa au aliwachungulia wenzake?
 
Marekani ktk miaka ya 2000's jeshi lao likumbwa na kashafa kamaninayo semwa ktk gereza la Guantanamo aisee ilikuwa ni burning issue pale US ilitoka na viongozi.
 
Very oppressive and inhuman in it's very nature.... haifai kabisa hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…