Esther Matiko: Wanaobaka wahasiwe

Hapo sawa vipi na kwa wanaosagana ? Au huko hapakuhusu kwa kuwa ni kisu kwenye mfupa
Hizi tuhuma kwamba ni memba wa ule upinde zipo zipo, japo ukiingia deep utaambiwa ni privacy ya mtu..!
 

Kwa mahakama hizi ambazo tumeshuudia Mbowe kupewa kesi ya ugaidi kama isingekuwa mawakili wazuri walikuwa wanamfunga kweli.

Tuanze kurekebisha mahakama na polisi kwenye upelelezi maana kutaleta shida na huwezi kurudisha.
 
Mfumo wa utoaji haki ni mbovu nchini, kama sheria hii kama itapitishwa basi mtaishia uwa HASI watu ambao siyo - kama mtu kiongozi anayejulikana mnaumpa UGAIDI mtashindwa mwanasiasa yeyote msumbufu kusema kwamba amebaka ili AHASIWE?

Narudia, Mfumo wa utoaji haki kukanzia ukamataji hadi usikilizwaji wa mashauri mengi nchini una walakiini - watu kwa zaidi ya 40% wanahukumiwa kwa uonevu.
 
Wadada wengi wanatolewa usichana wao kwa lazima,bila kuridhia,na asilimia kubwa ni chini ya miaka 18,ukisema wanaume wanaobaka wahasiwe,yawezekana magereza zisitoshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…