Estimated city population 2100

I find the figure unrealistic with Dodoma, Mwanza, Arusha, Mbeya and Mtwara all rapid expanding to Metropolis!
 
Our country is trying to decentralise the pooling facilities of the population. This's why lake zone is now changing to a big city. So people will not only move to Dar, but also other cities.
 
Our country is trying to decentralise the pooling facilities of the population. This's why lake zone is now changing to a big city. So people will not only move to Dar, but also other cities.
how many cities you have in your country?
 
Nilikua sitaki kuona Nairobi hapo, Nairobi inafaa maximum iwe ni 10 Miliion, La sivyo basi sehemu za Kiambu, Machakos na Kajiado zifanyiwe re-mapping ziingizwe ndani ya Nairobi county.... Jambo ambalo tunajua hizo county husika zitakataa...

Nairobi ya 2100 inafaa iwe na satelite cities zinazo zunguka Nairobi County, e.g Konza city kule upande wa Machakos, Tatu city upande wa Kiambu... etc alafu high frequeny tram system ndo inaleta watu ndani ya Nairobi alafu jioni wanarudi vitongoji nje ya Nairobi..
 
Huo mwaka Yesu atakuwa asharudi hata kama hatujui siku wala saa atakayokuja mwana wa Adamu.
 
infact the current nairobi 5 million is enough the rest of the population should be catered for by neighbouring counties.
 
Tanzania population 2100 estimate 299,132,889
Kenya population 2100 estimate 156,856,158
Uganda population 2100
 
Kwa nn miji mingi (five of them) kwenye hiyo list inaanza na herufi "K"?

We should should do something about that...may be we stop starting cities with initial letter "K"

K inawezekana inashawishi watu kuzaliana sana
 
Waliambiwa wafyatue watoto ili uchumi ukue, hehehe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…