Estimated cost for 4 storey hall of 5*7m

Estimated cost for 4 storey hall of 5*7m

Abuu hanifa

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2021
Posts
256
Reaction score
275
Nipo naandika project ya smart city.

For a Better Urban Future. The way we can overcome the challenges of urban house through join forces btn squatting community, government policies and other public participant (low middle income citizen).

But nahitaji kupata estimated cost ya stretch of 4 storey of 5m*7m. Msimgi, kusimamisha nguzo na kumwaga zege. Again siitaji kuta au nguzo za kati. Nahitaji estimate cost.

Kwa mwenye uhitaji wa kujoin hii project namkaribisha.

Kuna $5000 tutazifukuzia pamoja. Pamoja na mambo mengi mazuri yatakayokuja
 
Nitumie Architectural & Structural drawings zake niandalie na hio advance nikuandalie BOQ
 
Hii imekaa kitaalam sana. Ngoja waje
 
Nitumie Architectural & Structural drawings zake niandalie na hio advance nikuandalie BOQ
Mtaalam.

Kuna Mchoro ktk link hii ya insta

nadhani unaweza kusaidia kufikia lengo lako.

Hii nakupa ramani tu. Hizo decorations na vioo sihitaji uthaminishe.

Kama tunavyofahamu hapa nchini kuna maeneo ya makazi ya watu masikini karibu na katikati ya majiji. Maeneo yasiyopimwa. Maeneo ambayo gari hazifiki.

Ni maeneo ambayo viwanja vyake ni vidogo. Havina hata space ya kuweka matuta mawili ya bustani ya mchicha. Maeneo ambayo hayana thamani. Lkn yakifanyiwa ubunifu yataongeza thamani.

Lengo la project hii kuyaongezea thamani kwa kutumis mfumo wa gharama shirikishi.

Kwa uoni wangu mchoro huu ni mzuri kujengwa maeneo ya pembezoni. Na maamini ni ujenzi nafuu.

Hivyo nahitaji kujua gharama kabla ya kufanya partition za ndani na kufanya decorations za nje.

Ningeshukuru iwapo ndugu yangu ungenifanyia hili kwa gharama nafuu au bure. Kwakuuwa sina lengo la kujenga. Bali lengo kuu ni kuifanyia kitu nchi na jamii yangu. Kwa upande wangu naandaa proposal ambayo nitaisubmit ktk any competition zitakazojitokeza

Kama hii

Aww. Nimekumbuka kitu. Na napenda nikukeep buz kdg.

Nipo naandika project ya smart city for a Better Urban Future.

The way we can overcome the challenges of urban house through join forces btn squatting community, government policies and other public participants (low middle income citizen).

But nahitaji kupata estimated cost ya sketch of 4 storey of 5m*12m.

Sketch inayoanxia Msimgi, kusimamisha nguzo na kumwaga zege kati ya floor na floor.

Again ktk cost hii siitaji kuta au nguzo za kati.

Nahitaji estimate cost.

Project hii nayoifanyia tafiti itakuja kutumia ktk competions zinazohusuana na innovation kama hii.

Hivyo nawe ukiwa na muda nakukaribisha tushare mawazo.

Mchoro huu ni wa floor moja. Mimi nahitaji uwe wa floor nne zinazojitegemea.

Mchoro huu una majengo mawili mjengo mkubwa na mdogo. Ktkt kuna ngazi. Huo Mchoro mdogo plz uognore. Na kwakuwa tunahitaji dependent apartment, hivyo ngazi za ndani hazipaswi kuweko. Na la mwisho Mchoro huu wa jengo kubwa utakuja kureflect Mchoro wa kushoto wa jengo dogo.
 
Back
Top Bottom