Habar wakuu,
Nadhani sasa tunaweza UZA (sell) chochote kiwe kipya, used n.k, KUBADILISHANA (swap) na kama UNAHITAJI (wish) chochote kupitia site yetu ya eswap Tanzania ni BURE kabisa, una weza upload image tatu (3) na KUMBUKA kujaza details zako zote ili mtu akiitaji awasiliane na wewe.
Chart na member yeyote alioko online kibiashara zaidi..