Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nannyi wapendwa
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Mwaka ndo umesepa mazee hivyo hatuna bud kuuaga na kukaribisha mwaka mwingine mpya
Kama ilivyo kwa miaka mingine matukio hutokea na kusepa hivyo hivyo hata huu mwaka kuna matukio mengi sana yametokea na kusepa
Lakin kati ya hayo matukio kuna matukioa yalitisha sana na kuwaacha watu hoi
Matukio hayo yalitokea kwa viongoz au watu wengine tu wa kwenye jamii inayotuzunguka
Sasa hebu tiririka hapa ni tukio gan lilikuacha mdomo waz mwaka huu
Mimi tukio lililoniacha mdomo waz ni baada ya dk shika kupata meneja mrembo ile mbaya na dk shika kudai kuwa et atatoa bilion mbili kusomesha wanafunz wa chuo cha udaktar huko kanda ya ziwa shinyanga kahama, nilibak mdomo waz sana aisee
Tiririka tukio lililokuacha mdomo waz
LONDON BABY