Et ni kweli kwa wanaosoma B.A WITH ED(BAED)?

oil sumu

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
787
Reaction score
47
jaman nimesikia ukisoma baed unapoenda chuo unachaguliwa masomo ya kusoma? Je kama huyataki inakuaje? Msaada plz
 
Hapana sidhani kama utachaguliwa masomo, ila utapewa nafasi ya kuchagua, nadhani utachagua 1 Major Subject na 1 Minor Subject
 
jaman nimesikia ukisoma baed unapoenda chuo unachaguliwa masomo ya kusoma? Je kama huyataki inakuaje? Msaada plz

kwa ud wanakupangia kwa kuangalia perfomance yako katika masomo mfano kama wewe umesoma HKL na ukapa History B, Kiswahili C na language D kuna uwezekano mkubwa wa kupangiwa History na Kiswahili. Ila kunakuwepo na nafasi ya kubadilisha ila mara nyingi huwa wanaforce kwa kukupa sababu za hapa na pale.
 
Nawahurumia sana wazazi wako kwa kumzaa mtoto punguani kama wewe,kwa tabia yako hiyo cjui utaishi na jamii gani huko muce

naish na jamii ya wanaudsm wenzangu kama chatts55
 
mi mwaka 2006 nilikuta waenipangia HI/GE,lakin walitoa nafas ya kubadirisha "teaching subjects" nikachagua History/Linguistics.Uongoz wa pale DUCE ni waelewa sana!
 
@ milinga hakuna program inayoitwa bba with education. ila kuna b.a with education na pia kuna b.b.a yaani bachelor of bussiness administration
 
Dogo oil sumu acha utoto.ea kukebehi wenzako..
Chuo ni chuo tu.. mwisho wa siku wote mnaenda kuwa walimu. Kwani wewe kwa kidoma hapo udsm ndio utakuja kulipwa mshahara tofauti.

Nmeona dhihaka yako hapo juu kuwa udom ni chuo cha kata
 
Last edited by a moderator:
oil sumu...acha
tabia za kike hzo,wanaudsm hawako hvo,acha kupaka matope udsm,
alokwambia udom chuo cha kata nan,achen ushamba huo wa kuongea bila kuwa
na fact
 
@ milinga hakuna program inayoitwa bba with education. ila kuna b.a with education na pia kuna b.b.a yaani bachelor of bussiness administration

BBA with EDUCATION ipo.....(bachelor of b'nes adm with ed).... unasoma coz zote za BAF(ACCOUNT&FINANCE) NA unaongeza coz mbili za education
 
mwambie baba yako akujengee chuo cha peke yako ukiite oil sumu university ndipo upondee vyuo vingine isitoshe mnaish kwenye nyumba za kupanga.unabebenwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…