Suala si robo au nusu bali kiujumla walimu wa masomo ya arts ni wengi na ujue kuwa Histoy ina combine na masomo karibu yote ya arts kwa hivi hata mwalimu wa English, Geography, kiswahili, economics na hata French ujue pia alisoma History 'A' level na huenda pia katika diploma alichanganya na history na kuwa na teaching subjects 2. kwa upande wa kiswahili ni kuwa "O" level ni somo linaloongoza kwa ufaulu kama sijakosea sana hi ni rahisi pia kuja kulisoma kama teaching suject wakati wa kuchukua diploma au degree. Tatizo ni walimu wa Sayansi na hili linaeleweka sasa notion isiwe hata yale masomo ya arts tunayagrade. hii inaweza kuwa dhambi ya ubaguzi