Et ukarabat 50,000 ,t shirt 15,000 mandalz ya kidato cha tano jaman c wizi huu?

Et ukarabat 50,000 ,t shirt 15,000 mandalz ya kidato cha tano jaman c wizi huu?

Ndondocha mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
2,490
Reaction score
2,965
Dah hayo yamejiri kwene miongoni mwa form za kujiunga na shule flani hv.
 
ndo ukasome uzirudishe kunguni we acha kulalamika kwani unalipa wewe au babako!!?
 
nenda private hujalazimishwa t shirt zinauzwa hadi 50000 we unalalamika njoo tukupe tenda za kutengeneza hizo tshirt halafu utuuzie 5000
 
we nae kama unaona gharama sana jaribu kuangalia kupanda kwa gharama za maisha p1 na kushka kwa uchum
 
Hapa wakuu wa shule ndio wanapiga pesa msimu huu,maana serikali ikosafari ikirudi watakuwa wamesha tajirika. Ukarabati wa nini 50000? Umeharibu wewe? Lakini kasome maana ukitaka cha uvunguni sharti uinamishwe! Kubari yaishe.
 
nenda private hujalazimishwa t shirt zinauzwa hadi 50000 we unalalamika njoo tukupe tenda za kutengeneza hizo tshirt halafu utuuzie 5000

dah wap wewe t shrt gan hyo 50000? Wanatunyonya tu.
 
dah wap wewe t shrt gan hyo 50000? Wanatunyonya tu.

ulitaka iwe sh ngapi Mkuu, kwa case ya ukarabati naomba tu ujue serikali imezitelekeza shule zake zimechakaa mno hasa alizotuachia mkatoliki , zingine zina nyufa tunaogopa vijana wetu wasijepata matatizo ya kuangukiwa Na kuta. si inajua serikali inasubiri maafa ndo irekebishe. kwa usalama wa watoto we nu tunaomba mtuunge mkono.
 
kuna shule zimechoka hata hiyo elfu 50 haitoshi mfano shule ya kigonsera mabweni yamechakaa na kila moja linahitaji si chini ya milion 50 na serikali hata haijali.sasa kumbe nani awajibike kama si wewe mwanafunzi ambae unaishi humo kwa sababu likianguka ni hasara kwako wewe na familia yako serikali itatoa pole na hakuna atakayewajibishwa hivyo maisha yatasonga mbele kama kawaida
 
Back
Top Bottom