Hiyo "injela" na kiasilia inatokana na unga wa "teff" aina ya nafaka inayolimwa Ethiopia zaidi...
Hivi kumbe ni mchele, wanatengenezaje huo unga wa Injera, wanakoroga halafu wanapika kama chapati za maji?Lugha nyingine inaitwa kisra siyo nafaka ni mchele unaoshwa unaanikwa ukikauka unasagwa,unawekwa hamira kuumika.kisha inapikwa linakuwa pana sana sema nyepesi kwa asubuhi unaweka sukari unanywea chai kwa mchana na usiku hauweki sukati nzuti ukilia na mchuzi wa kawaida na maharage pia.