Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Ethiopia ni moja ya nchi bora africa kwa barabara zenye viwango ambazo Tanzania huwezi zikuta.. Tamroad jifunzeni.
Najiuliza wakati mnajenga barabara mfano ya kimara to kibaha kwanini hamkuwaza wapi mtaweka taa. Kwanini msinge acha nafasi katikati nfio taa zikakaa. Nasikia eti tanroad wameshindwa kuweka taa kutika kimara hafi kibaha kwa sababu hawaja pata taa zenye mwanga wakutosha kutoa mwanga barabara yote.
UJenzi wa barabara unahitaji big brain na kuondoa siasa kabisa.