Ethiopia wants Addis Ababa to be Africa's Dubai

By that time we Kenyans will have colonized space and our southern neighbors be our lab rats.
Which space is is that the one you've launched a MATCHBOX SATELLITE aka TOY SATELLITE.
 
Tumia Kiswahili niweze kuelewa unakurupuka nini tafadhali.
Elimu yenu haiwafundishi kufikiria nje ya box, once you stumble with a little twist you loose focus and cease to think. Anyway ndio Kenya hiyo.
 
Tunajihisi wapweke sana kwenye hii picha, hebu ona kainchi ketu kalivyozungukwa na nyekundu tupu. Mnatia aibu Afrika jameni, linaonekana bara la mazombi tu, mainchi yaliyobarikiwa na kila aina ya raslimali lakini yamejawa na mivivu kote kote.

Hao UN wanachuki tu zilizowajaa dhidi ya afrika. Ndoomana hata ramani yenyewe ya africa wameikosea kuilebo. Libya imekuwa algeria na kinyume chake
 
wanampango wa kununua Boeing777max. 20 bongo magu amenunua nne Watu wameongea hadi kero
Magu kanunua Boeing 777 nne? Wapi em nionyeshe source. Au pangaboy ndo zimekuwa 777s?
Ukweli kakosea kununua 787 moja ambayo angenunua embraer na bombardier CS300 za kutosha kwanza kabla ya kuwaza midege ya masafa marefu kama hiyo 787.
CS 300 inafika Dubai, India na bara la Ulaya pamoja na nchi zote za Afrika tungekamata hilo soko kwanza!
 
Why so much salt mate? Wewe chillux kwa LDC, mtatoka huko soon, with the good job you guys are doing. However, ethiopia's gdp iko almost kama Kenya's, with their population being almost 2.5 times the size of ours mate. So we are doing great
 
wanampango wa kununua Boeing777max. 20 bongo magu amenunua nne Watu wameongea hadi kero

Umesoma mipango yao hapo, watu wana malengo hawanunui tu.
Umewai kusikia malengo ya ATCL kwa miaka 5/10 ijayo? Sisi tunafanya kwa bahati nasibu.
Wenzetu wamewekeza ndio maana hapo anaeleza kiundani jinsi watakavyoongeza route zao na ndege za kununua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…