Ethiopia Yaanzisha mashambulizi ya Anga nchini Somalia kuwalenga Al Shabab

Hio ni kisiasa tu ila kijeshi sidhani kama hawawatambui......yale maonyeshe ya kijeshi ya mwaka jana ya miaka 60 ya Jwtz kulikua na vyuma vya kutosha vya Israel
Kwenye post yangu kuna suala la 'wakati' ikiwa utasoma kwa umakini
 
Niliwai kumuuliza mjeda mmoja"Al shabab wanapata wapi silaha za kupigana miaka yote",,mjeda akaniambia wanapata silaha kutoka kwenye makampuni makubwa yanayouza na kuunda zana za kivita.

Nikataka ufafanuzi zaidi akaniambia niache keherehere Dunia ina mengi ya siri siwezi kuyajua yote.
 
Hiyo dini ya muarabu ni kero duniani, asingeanzisha hiyo dini kwa kweli.
 
palee kigali
ukitaka kuipiga Rwanda unapiga Kigali na Gisenyi tu kila kitu wanaanza upya kama walipokua mwaka 1800 ujima na inachukua dk 35 tu kuteketeza kila kitu flatland sehemu zote hizo tena bila kizuizi nashangaa kwann wanapenda kujionesha sana shauri yao.
 
ukitaka kuipiga Rwanda unapiga Kigali na Gisenyi tu kila kitu wanaanza upya kama walipokua mwaka 1800 ujima na inachukua dk 35 tu kuteketeza kila kitu flatland sehemu zote hizo tena bila kizuizi nashangaa kwann wanapenda kujionesha sana shauri yao.
Tuwatume hata suma jkt
 
Al
Al shabab mwisho wao ushafika maana wanapigwa mande kila kona huku serikali ya somalia, upande mwingine marekani anawashambulia kwa drone na sasa Ethiopia nae kaingia sijui watatokea wapi?
 
Hao Ethiopia walishamaliza vita vyao kwenye lile jimbo lao?
 
Hao Somalia miaka yote ni hekaheka tu


Ukishakuwa na hao waislam wenye misimamo mikali, sahau habari ya amani.

Uislam wa misimamo mikali ndiyo ushetani wenyewe, maana itikadi yao kuu ni mauaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…