Hawana utani hao yaani wanawakiza Waarabuwahabeshi kwe sekta hii wamejidhatiti haswa.....huko mbelen wataacquire na lakwetu
hawa jamaa ni hatari aiseeHawana utani hao yaani wanawakiza Waarabu
Acha kulinganisha Wamanga (waarabu) na mabasi yanayopaa (Ethiopian)Hawana utani hao yaani wanawakiza Waarabu
mkuu kwa kasi yao hii watafika mbali hawa watuAcha kulinganisha Wamanga (waarabu) na mabasi yanayopaa (Ethiopian)
Kwa definition ya Africa watafika Mbali ila si kwa level za waarabu. Huenda wakaja kutununua na ss pia...... (kama mchangiaji fundenge alivyodai)mkuu kwa kasi yao hii watafika mbali hawa watu
hahaha eti defn ya africaKwa definition ya Africa watafika Mbali ila si kwa level za waarabu. Huenda wakaja kutununua na ss pia...... (kama mchangiaji fundenge alivyodai)
OK, ndio tumeiga Huko, well understoodkuna tatizo la kiutawala pale
Dah wanapanua nini?Domination. Ethiopian Airlines, after acquiring 45% of Zambia Airways, 49% of Guinea Airways and 100% of new Ethiopia-Mozambique Airlines, has taken 49% ownership of Chad Airlines in relentless drive to become Africa's primary air carrier. Move over South African & Kenya Airways.
View attachment 779556
Kabisa.wahabeshi kwe sekta hii wamejidhatiti haswa.....huko mbelen wataacquire na lakwetu
Dah wanapanua nini?
wahabeshi kwe sekta hii wamejidhatiti haswa.....huko mbelen wataacquire na lakwetu
ni kweli mkuu ingawa itategemea na situation ya shirika mda huo, mfano shirika la south now liko hoi kwelikweli sasa hii itawapa advantage ethiopia kwe negotiation hapa ndo shida ilipo maana jamaa wakiona upo kwe hali nzuri hawaji kuchukua stake mpk waone unayumba ndo wanakuja coz wanajua watapata terms nzuriSiyo vibaya wakichukua asilimia fulani (not 100%) hata kwenye Air Tanzania labda 20%. Emirates labda nao tuwauzie10%. It is win win situation kwa nchi zote mbili.
Tutapata professionalism, more aircrafts, economies of scale, experience, funds, more easy connection to Africa and to the whole world.
Muhimu Tanzania kuwa na asilimia zaidi ya 50% ili kuwa na sauti kubwa kuliko wawekezaji wengine, kucontrol malengo na mwelekeo wapi kuwekeza na kuhakikisha inanufaisha Tanzania, na kusaidia Watanzania.
Ni vigumu kwenye hii biashara kusurvive alone.