yes mkuu si unaona wanalinyemelea la south coz now liko hoi bin taabaniKabisa.
Kwa sababu ukiwa taabani utajipeleka mwenyewe
Naomba mniwekee picha za wale mabibi wa air tanzania. Ni kichekesho wakati mataani kuwa watoto wakali kuliko africa nzima na wana chura matata sana. Ila wamekomaa na wabibi.Domination. Ethiopian Airlines, after acquiring 45% of Zambia Airways, 49% of Guinea Airways and 100% of new Ethiopia-Mozambique Airlines, has taken 49% ownership of Chad Airlines in relentless drive to become Africa's primary air carrier. Move over South African & Kenya Airways.
View attachment 779556
Ni kama wanarusha ndoanoyes mkuu si unaona wanalinyemelea la south coz now liko hoi bin taabani
Mkuu kukimbiza haina maana wapo karibu karibu yaani kama ni magari yameondoka pamoja Mwanza muda mmoja kwenda Dar... waarabu wamefika Chalinze wanakaribia Dar lakini Ethiopian wapo Singida wakati mashirika mengine ya Africa ndio kwanza mengi yapo Shinyanga na mengine hata Shinyanga hayajafika. (kwa Africa wanajitutumua aisee)Acha kulinganisha Wamanga (waarabu) na mabasi yanayopaa (Ethiopian)
Tuliwahi kuingia kwenye makubaliano flani na South Africa na nadhani ndio walitufikisha hapa maana vitu vingi vilikuwa vinatoka South (inahitaji kuwa makini sana kwenye hili jambo aisee)Siyo vibaya wakichukua asilimia fulani (not 100%) hata kwenye Air Tanzania labda 20%. Emirates labda nao tuwauzie10%. It is win win situation kwa nchi zote mbili.
Tutapata professionalism, expertise ,more aircrafts, leverage economies of scale, experience, funds, more easy connection to Africa and to the whole world.
Muhimu Tanzania kuwa na asilimia zaidi ya 50% ili kuwa na sauti kubwa kuliko wawekezaji wengine, kucontrol malengo na mwelekeo wapi kuwekeza na kuhakikisha inanufaisha Tanzania, na kusaidia Watanzania.
Ni vigumu kwenye hii biashara kusurvive alone.
Tuliwahi kuingia kwenye makubaliano flani na South Africa na nadhani ndio walitufikisha hapa maana vitu vingi vilikuwa vinatoka South (inahitaji kuwa makini sana kwenye hili jambo aisee)
Ufipa wanasema ethiopian Airlines imefilisika ndio maana sasa wananunua bombardiers.wahabeshi kwe sekta hii wamejidhatiti haswa.....huko mbelen wataacquire na lakwetu
Mkuu kukimbiza haina maana wapo karibu karibu yaani kama ni magari yameondoka pamoja Mwanza muda mmoja kwenda Dar... waarabu wamefika Chalinze wanakaribia Dar lakini Ethiopian wapo Singida wakati mashirika mengine ya Africa ndio kwanza mengi yapo Shinyanga na mengine hata Shinyanga hayajafika. (kwa Africa wanajitutumua aisee)
hahahaa hatari mkuuUfipa wanasema ethiopian Airlines imefilisika ndio maana sasa wananunua bombardiers.