Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Miaka 40 tangu kundi la Waithiopia kuingina katika ardhi takatifu historia yaowinajitokeza. Kuna waliojitolea kwa hali na mali kuokoa kundi hili la Wahahudi waliopotea. Miongoni kwao ni Ferede Aklum kiongozi aliyejipa majukumu mwenyewe ya kuwaongoza Waerhiopia Wayahudi. Federe aliongoza kundi hili kupitia jangwani kwa idadi ya maelf ili kutimiza mkakati wa Musa na mkakati wa Solomon.
Waithiopia inasadikika ni kati ya makabila 10 ya wana wa Israel waliopotea. Mwaka 1977 baada ya mapigano na Sudan Aklum aliandika barua kwa muwakilishi wa Israel mjini Geneva ili aokoe Waethiopia. Kwa maajabu barua hii ilimfikia kiongozi wa Mossad mjini Tel-Aviv.
Rabbi mkuu alithibitisha kuwa Waithiopia ni Kabila lilikotokana na uzao wa Mfalme Solomon na Malkia Sheeba. Waethiopia wanajulikana kama Beta Israel