Ethiopian train derails

Ethiopian train derails

YoungD

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,275
Reaction score
1,332
Ethiopian class 2 Chinese train details merely 1yr after starting operations!
1064939
 
Hii mitambo ya kujengwa na wa china ni fake sana..Mwaka jana gari moshi la kenya lilisimama katikati ya reli na kugoma kwenda kabisa..Ilibidi lisukumwe na abiria😂😂😂
👇👇👇
 
naona wazee wa vitu bwerere next time itawakulia kwao...yani electric train kw bei chee alafu unajigamba...duh...kuna watu kuumia..vituo na tracks tu tayari zinadhirisha...
vyuma vya kenya vinaelekea mwaka wapili sasa...wataisoma namba...unabana matumizi unaongeza cost ya ku repair ...bwahahaaaaa...
 
Wanasingizia mvua kubwa iliyozika reli
Kwani wajenzi hawakujua kuna mvua huwa zinanyesha?
Huku ni kucheza na maisha ya watu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
wivu itakumaliza, umekurupuka tu bila kukumbuka Yapi Merkezi wanawajengea the same standard na Ethiopia so the highest chance of a derailment would be to the tanzagiza sgr as opposed to Kenya's.
Alikua ni subcontractor kwenye hiyo project tena sio kwenye upande wa rail and slippers wala earthworks, hivi unajua hii SGR yetu inajengwa mpaka na subcontractors kutoka Sweden, Korea, Japan etc?
 
wivu itakumaliza, umekurupuka tu bila kukumbuka Yapi Merkezi wanawajengea the same standard na Ethiopia so the highest chance of a derailment would be to the tanzagiza sgr as opposed to Kenya's.

Ni hatari sana kama aina hii ndio Watanzania wanatengezewa, ndio majanga ya kutaka vitu vya misaada misaada na bei rahisi.
 
waliimba hapa mara hoo sijui...vitu ubwete ...endeleeni kubana matumizi tu...matokeo yake...kupaka ndege chokaa na kumchora twiga kw mkaa...
 
Alikua ni subcontractor kwenye hiyo project tena sio kwenye upande wa rail and slippers wala earthworks, hivi unajua hii SGR yetu inajengwa mpaka na subcontractors kutoka Sweden, Korea, Japan etc?
akili zako ni za kuvukia barabara tu wewe zero brain! sasa uharo gani huu unaandika hapa?
 
Back
Top Bottom