Ethiopian train derails

story za kutandaza reli kwa mikono na kujenga bila embankment ndio hii sasa. bongolala mjiandae.

Alikua ni subcontractor kwenye hiyo project tena sio kwenye upande wa rail and slippers wala earthworks, hivi unajua hii SGR yetu inajengwa mpaka na subcontractors kutoka Sweden, Korea, Japan etc?

Swedes are good in railroads. I was in Stockholm last December. I enjoyed their subways, metro and burret train. They can deliver a sound output.
 
waliimba hapa mara hoo sijui...vitu ubwete ...endeleeni kubana matumizi tu...matokeo yake...kupaka ndege chokaa na kumchora twiga kw mkaa...

I didn't know that you are such a stupid mbilikimo.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Swedes are good in railroads. I was in Stockholm last December. I enjoyed their subways, metro and burret train. They can deliver a sound output.
Sweden unaboard train with your car on board unapanda intercity train with a very affordable price, wenzetu wapo mbali.
 
story za kutandaza reli kwa mikono na kujenga bila embankment ndio hii sasa. bongolala mjiandae.
View attachment 1065299

you better read the hashtag "this is what china selling to africa" our railway company has nothing to do with chung ching,now we think 'bout european standard,we have been using the chinese one since 70's long ago

electric thing loading......
 
Wadau mtacheka hadi muanguke mtakapoona designs za treni za the... Waaah. ... Na vile hatupumui huku n story za bullet train.I can safely confirm that Danganyikans hawana akili kabisa.
 
Wadau mtacheka hadi muanguke mtakapoona designs za treni za the... Waaah. ... Na vile hatupumui huku n story za bullet train.I can safely confirm that Danganyikans hawana akili kabisa.

weka hapa tuone, but sio ajabu kwani tumeshaona kazi ya mturuki kwenye station/zizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…