HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,567
- Thread starter
-
- #21
mimi nimesikia Lindi hiyo tabia ipo ingawa sina uhakika
na vile vile nimesikia Msumbiji na Madagascar pia hiyo tabia hipo..
sasa sijui connection yake
kuna mtu alienda Mozambique
kufika kule akashangaa kama una mpenzi wako ni mwanafunzi
hata kama yuko 16 au 17
unaenda shuleni unaingia hadi darasani na kumuomba mwalimu akutolee mpenzi wako muongee nje
mnapanga miadi yenu halafu mwanafunzi anarudi darasani na wewe unaondoka zako
pata picha hapo..
Jamaa yako nae shenzyyy kabisa. Aaaaaggggghh!
Hata mimi nasikia kuwa makabila ya huko Lindi mwanamke kumnyima mwanaume ile kitu aliyopewa bure na Mungu wanaona ni dhambi.
haki ya nane naenda fanya kazi lindi
haki ya nane naenda fanya kazi lindi
Shenzi kivipi wakati kaletewa mwenyewe!!!
Ingawaje inasikitisha lakini Mila na dasturi za makabila mengine zahusika. Nenda Palma, Nangadi, Pemba, Lishinga na Isla de Mocambique. Sijui lindi, Mtwara na Tunduru. Kama umewahi kusafiri sehemu kama hizi utaona makubwa zaidi ya hayo. Na mila huwezi kuibadili. Ama komaa nao au wacha tu.
IF YOU CANT BEAT THEM JOIN THEM
hv angekuwa mtoto wake anafanyiwa hivi angekubali? pumbaf tabia kama hiz za kifatak hazikubaliki