Eti ana hirizi ya Simba

Ndio maana anafanya atakalo, hamna wa kumziba mdomo. Hata kaka yake hana la kumfanya hata akikosea vipi.
Kwenye maagano yake hayo ya ki Pepo ndio kizazi chake lilipotolewa kafara, kamwe hawezi kubebesha mimba
Mmmmh.

Maisha yana mafumbo mengi sana. Mengine hayana majibu kwani yamefumbwa yakafumbika. Mengine yapo wazi wazini. Yaani ni tabu na taabu tupu

Bazazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…