Eti ananichukia sana...

kaka achana na huyo mtu mana anaweza kukuharibia mahusiano yako na mchumba wako, muhimu mueleweshe zaidi huyo mchumba wako ili wote mkae mkijua kuwa huyo anaweza kuwa adui wa kuharibu mahusiano yenu, na muwe naye makini hasa huyo mchumba wako. Muhimu ni kujiweka sawa wewe na mwenzako, mfunge vioo kabisa kwani sio wote wanapenda kuona wawili wanapendana...na inawezekana yeye hapati hata wa kumpa salamu,na labda alitegemea labda angeluwa wako ila ukaenda kwa mwingine sasa frustration yake anataka kukusambazia na wewe...ACHANA NAYE WAPO WENGI HAO....hata kwetu wapo!
 
Mimi ndo maana huwa sitongozagi mpaka nichekewechekewe tena sanaaa....yaani mpaka nione nimebaki kuambiwa tu kwa maneno lkn dalili zote tayari,ndo naangusha sera,hiyo style hunisaidia sana kwani mara nyingi ile nikianza kumwaga sumu tu kabla haijamwagika vizuri tayari nishaitikiwa "nimekubali"
 
hiyo live ulimwaga vip????

mbele ya kadamnasi?????

da noooo haikua aje kiivyo coz nilimuibukia kimtindo den kuna shost flan 2lisoma wote nini akajaribu kukaa kati ndio vp mzee siku hiyo nikaingia kichwa kichwa....babu bora ata ningevumilia tuu mpaka nizoee ile hali lakini najuta alifanya adi washikaji wajue iwe gumzo kitaani.
 
Mkuu mbona huyo anataka muhogo tu, yaani iko wazi kama mchana wa jua kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…