Eti anataka mahari milioni 1.5

Eti anataka mahari milioni 1.5

Ungemwambia wewe unatakaje?
Mjadili na mfikie maafikiano pamoja.
Lakini ikiwa Mwanaume unawaza kama mtoto asiye na Akili ni Bora huyo dada amejinasua mapema na Mwanaume mjinga.

Kama wewe ni wale wasiotoa Mahari kama Sisi Watibeli basi ni vizuri ungempa hoja zako kuu kisha mzijadili Kwa pamoja na huyo mchumbaako, kisha atakayeshinda Kwa hoja zenye mashiko ndio mnachukua huo uamuzi kama uamuzi wa wote (ninyi)

Kama Mahari ni kubwa pia mngejadili kuwa uwezo wako ni kiwango Fulani, na utoe Sababu zenye mashiko.

Ni Bora Mwanamke abaki kuwa single au awe Kahaba na kujiuza Kwa wanaume wenye Pesa au wenye Akili kuliko kuwa na Mwanaume Mpumbavu
 
Back
Top Bottom