Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
[emoji3][emoji3] 1.5m tabora napata zaidi ya heka Tano tayari kwa kilimo Cha mpunga mwezi wa 11.Yaan Umeona ni kubwa au kajishusha sana?
[emoji1787][emoji1787] bado nyingi sana kwa kijana mpambanaji ambae bado najitafuta1.5m?? Una lia lia... tena mkienda kupeleka huwa hammalizi mna bakia na deni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naungana na weweKiufupi KATAA NDOA
5m anakuwa Hali havai??Ukiambiwa 1.5m peleka 5m kabisa!
Nenda kalime, kuoq sio mkojo kwamba kila mtu atakojoa[emoji3][emoji3] 1.5m tabora napata zaidi ya heka Tano tayari kwa kilimo Cha mpunga mwezi wa 11.
Nyingi sana kwa upande wangu siwezi
We mwenyewe hujaoa na kwenye akiba zako zote hufikishi elfu kumi na TanoNipe namba yake nimtumie hiyo 1.5 M ya mahari yake na nitagharamikia harusi yenu 96%
Hapa ndio umemaliza kila kituNenda kalime, kuoq sio mkojo kwamba kila mtu atakojoa
Ukitoa mahali ndio itakuwa ina mlisha na kumvalisha?5m anakuwa Hali havai??
Aliekuzaaa wewe alikuwa na thamani Gani kwnza??? Au ndio mpaka Leo anadeni??Daktari mzima analeta upuuzi kama huu. Hebu kaa na Wazee wako uwaulize aliyekuzaa alikuwa na thamani gani.
Wacha kujishusha
Ana shida! Daktari wa mitishamba!Daktari mzima analeta upuuzi kama huu. Hebu kaa na Wazee wako uwaulize aliyekuzaa alikuwa na thamani gani.
Wacha kujishusha
Na wewe muulize mzazi wako kwann mpaka Leo hajamaliza deniUkitoa mahali ndio itakuwa ina mlisha na kumvalisha?
Muulize mzazi wako kwanini ulitoa mahali? Au kwanini ulitolewa mahali? Je ndio ili kuvisha na kukuvalisha?