wanazaliwa lini, kwa kizazi hihi hiki cha facebook au unaongelea kizazi cha siasa ni kilimo?
Maamuzi unayo mwenyewe. Lakini tafakari kuwa alikusaliti hapo awali..... Je hatafanya hivyo tena? Huwezi kuoa mwanamke ajili ati unamwonea huruma. Kwani wewe ni BABA HURUMA. Kaa ukitafakari na umpe ulicho shuriwa iwe kama inatoka kichwani mwako. Maamuzi unayo mwenyewe.
Hahaha!mi nipo sijapotea,ni kuna wakati tu napoteza hamu na hili jukwaa, hivyo napita zaidi jukwaa la matangazo,mchanganyiko na siasa.sometimes nakuwa bored na mmu kwani kuna post nyingine zinaweza kukusababisha hata ukatenda dhambi kwa kuandika mambo ambayo siyo, hata kwa kuchangia tu.maana post nyingine kuzisoma tu ni najisi ukizichangia ndio kabisaa unajitia unajisi.
sema na moyo wako kwani uzito na umuhimu wake wewe ndo waujua .. na naamini utakuwa na maamuzi mazito na mazuri kulingana na hisia zako na si tamaa maana inaonyesha ulikuwa mvumilivu japo sijajua uvumilivu huo unatokana na nnii..
yawezekana ni darasa kwake kwa ajili ya yale yaliyotokea kwa vile hukuwa unamtimizia alichotaka kimwili , kaa nae ongea nae na msikilizane naamini mtakuwa na mwafaka mzuri zaidi ya huo ambao tutakueleza japo sie tutasaidia tu katika kupanua upeo wa kufikiri
Umesema vema Mr. Rocky, huyu sidhani kama amejiuliza hayo maswali manake kama angejiuliza asingekuja na huu uzi... Mwenzie katemwa ndio mana anamwona wa maana kwa sasa.
Hahaha!
Pole, uwe unapita chit chat kujifurahisha. MMU siku hizi inachuja manake watu wanapost vitu vingi havina maana mbaya zaidi vya kutunga! Mie naiona haina tofauti na chit chat, nakuwepo kujifurahisha ila sichukui serious!
bahati mbaya natumia cm ningekugonea like
nakuunga mkono na mguu kwa asilimia mia mbili. Kuna watoto wa secondari za kata wameingilia jukwaa. Chiti chat ni kuzuri?
Unajua kuna mambo mengine mtu unajiuliza hivi huyu hajajiuliz amaswali haya yote kabla ya kufikia kuuliza ushauri Maana mambo mengine yko wazi kabisa na wala hayahitaji kuangaliwa kwa darubini
Kuna watu wana roho nyepesi sana, hawawezi kufanya maamuzi magumu! Huyo mdada hakuona thamani ya mwenzie kipindi chote, anaiona sasahivi vile yamemfika! Ila ndio kama hivyo binadamu tunatofautiana sana!Unajua kuna mambo mengine mtu unajiuliza hivi huyu hajajiuliz amaswali haya yote kabla ya kufikia kuuliza ushauri
Maana mambo mengine yko wazi kabisa na wala hayahitaji kuangaliwa kwa darubini
Kuzuri sana! Njoo ujionee!nakuunga mkono na mguu kwa asilimia mia mbili. Kuna watoto wa secondari za kata wameingilia jukwaa. Chiti chat ni kuzuri?
huyu bwana nadhani kajiuliza maswali na kajifanya maamuzi lakini inaonyesha hajiamini kwa kile alichoamua kwa hiyo anajaribu kuona jamii itamchukuliaje??
Kuna watu wana roho nyepesi sana, hawawezi kufanya maamuzi magumu! Huyo mdada hakuona thamani ya mwenzie kipindi chote, anaiona sasahivi vile yamemfika! Ila ndio kama hivyo binadamu tunatofautiana sana!
njoo chichat
kule ni stress free zone
unalipuka na jibu la kwanza linalokuja kichwani bila kuchuja
Kuna watu wana roho nyepesi sana, hawawezi kufanya maamuzi magumu! Huyo mdada hakuona thamani ya mwenzie kipindi chote, anaiona sasahivi vile yamemfika! Ila ndio kama hivyo binadamu tunatofautiana sana!