BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
True kabisa hapo na naona ndicho alichofanya
Still mapenzi kwa yule dada yapo na ndo maana ana guts za kuja kuuliza ushauri
Sina cha kuongeza ntaharibu... Nidai like zako....Kweli kabisa wengine hatuna roho nyepesi kiasi hicho kusahau na kuona kwamba kila kitu kiko sawa
Na then unafukia mashimo unaweka lami mpya ukipita hapo kesho yake unasahau kabisa kwamba pale palikuwa na shimo
Hiyo roho wengine hatuna
Kupewa mimba na mwanaume mwingine wakati bado penzi langu na yeye halijawa na msimamo unaoeleweka licha ya yale yote niliyomfanyia na then ameenda huko ameona maisha hayaendi anarudi kuja kula matapishi yake hiyo ni ticket kuwa hakuwa na mapenzi na mimi
Na je alitegemea wakati huo wote akiwa ameolewa huyu jamaa hakuwahi kuwa na mpenzi mwingine
Mimi pia hisia zangu zinanambia hivyo hivyo...na nahisi watakuwa wamesha reconcile ila tu hajaliweka wazi hahahaha
Mh....anaeza kuhadaika tena akaja mletea mwenzie tabu kwa mara ya pili...huyu dada si kwamba hakuona umuhimu au thaman ya jamaa ila alikuwa amehadaika na amekuja kushtuka akiwa tayari kanasa na alifanya ustaarabu kumkwepa jamaa ili isilete mgogoro zaidi
Mimi pia hisia zangu zinanambia hivyo hivyo...
Sina cha kuongeza ntaharibu... Nidai like zako....
na nahisi watakuwa wamesha reconcile ila tu hajaliweka wazi hahahaha
Mh....anaeza kuhadaika tena akaja mletea mwenzie tabu kwa mara ya pili...
Mie bado naamini shida ndio zimemrudisha kwa jamaa, angekuwa mambo safi wala asingemkumbuka..
na bila shaka wako pamoja au kama sio pamoja washakutana
Ehhh tena jamaa alikataliwa hata kufanya mapenzi kisa anasubiri kuoa wakati dada wa watu alikuwa na mwingine anayefaidi
Kuja kushtuka mimba tayari
Then out of nowhere anakuja kuliliwa sasa kuwa aise naomba turudiane na shetani anavyosingiziwa unaaambiwa ni shetani tuu alinipitia
na nahisi watakuwa wamesha reconcile ila tu hajaliweka wazi hahahaha
ndo ivo
sasa hivi anataka kwenda next step ya kuoa
ila ana woga fulani hivi
ngoja aoe mke wa mtu afu waje wamlambe
lakini si tatizo maana hisia na moyo ukisema nao ni sawa .. ila anapaswa akae na mwenzake waongee na kujipanga upya
maisha ni safari ndefu sometimes huwa tunafanya mambo mengi bila kujua matokeo yake.ila maisha sometimes huwa yanatupa second chance,kama huyo binti ndo furaha yako wewe chukua tu.maana unaweza kuchukua mwingine mambo yakawa hayohayo au akawa na matatizo mengine
angalia furaha ya moyo wako life ni happiness tu ayo mengine ni ziada tu
so if the girl is your happyness then mchukue dunia ni hii hii hamna alie mkamilifu
Sawa mkuu ila sio katika kurudiana aise
maana what if maisha ya yule aliyempa mtoto yakiwa mazuri akarudi kuomba samahani
What will happen kwa jamaa
jamaa mbona ameshaweka wazi kwamba bibie yuko huru kwani jamaa yake wa kwanza (mzazi mwenzie) almeshaoa mwanamke mwingine .. hapo jamaa ameshaonyesha ni kiasi gani anampenda mdada
Leo unashusha mapoint ya ukweli sana, itakuwa ulisali asubuhi...na bila shaka wako pamoja au kama sio pamoja washakutana
Ehhh tena jamaa alikataliwa hata kufanya mapenzi kisa anasubiri kuoa wakati dada wa watu alikuwa na mwingine anayefaidi
Kuja kushtuka mimba tayari
Then out of nowhere anakuja kuliliwa sasa kuwa aise naomba turudiane na shetani anavyosingiziwa unaaambiwa ni shetani tuu alinipitia
Mkuu anything can happen kwa jamaa
Je akimwacha mke aliye nae sasa akarudi kusema kuwa shetani alimpitia na bado anampenda mzazi mwenzake hapo inakuwaje
Wanawake ni vigeugeu mbaya