mkuu rocky kuachana kwa wapenzi kupo kwa aina nyingi,hata hii case ya wawili hawa ni kitu cha kawaida.unadhani hawadeserve second chance ?Sawa mkuu ila sio katika kurudiana aise
maana what if maisha ya yule aliyempa mtoto yakiwa mazuri akarudi kuomba samahani
What will happen kwa jamaa
Leo unashusha mapoint ya ukweli sana, itakuwa ulisali asubuhi...
Aaah sijui kwa nini niko via mobile, nashindwa kukutendea haki...
hahaha yawezekana pia japo ni nadra sana kwani kama jamaa akichukua basi ndo ushindi ila naamini itakuwa rahisi kuhamia kwingine kwani atakuwa na matarajio makubwa
mkuu rocky kuachana kwa wapenzi kupo kwa aina nyingi,hata hii case ya wawili hawa ni kitu cha kawaida.unadhani hawadeserve second chance ?
mapenzi ni kitu sensitive sana
kama anampenda amuoe tu ,nadhani hata huyo mdada amejifunza.
kwani ni wangapi wameachana na wapenzi wao wakaolewa au kuoa na wanasumbuliwa na wapenzi wao wa zamani na hawawakubali.
Unachoongea ni ukweli mtupu...Mkuu anything can happen kwa jamaa
Je akimwacha mke aliye nae sasa akarudi kusema kuwa shetani alimpitia na bado anampenda mzazi mwenzake hapo inakuwaje
Wanawake ni vigeugeu mbaya
kongosho .. huyu jamaa katoa tahadhari kwa madai kwamba jamaa alishaoa mwanamke mwingine kwa maana nyingine huyo mdada yuko huru nae
Ntazilipa usijali....Aise nakudai like zangu nyingi tuu
Sometime inabidi kuwa hivyo bana na sio muda wote ni utani tuu
huyu mdada akupenda kuwachanganyia tunda bwana ndo maana alikuwa anamnyima hope yake ilikuwa kwa huyo jamaa mwingine.na bila shaka wako pamoja au kama sio pamoja washakutana
Ehhh tena jamaa alikataliwa hata kufanya mapenzi kisa anasubiri kuoa wakati dada wa watu alikuwa na mwingine anayefaidi
Kuja kushtuka mimba tayari
Then out of nowhere anakuja kuliliwa sasa kuwa aise naomba turudiane na shetani anavyosingiziwa unaaambiwa ni shetani tuu alinipitia
Kweli BPM!...darasa lipo hapa hapa kwani lazima tujifunze kwa wengine na wengine nao wanatakiwa kujifunza kwetu
Ntazilipa usijali....
Nimependa unavyotoa michango serious, mleta uzi kama yuko serious atajifunza sana kwenye ulichoandika!
huyu mdada akupenda kuwachanganyia tunda bwana ndo maana alikuwa anamnyima hope yake ilikuwa kwa huyo jamaa mwingine.
sema alishindwa kuchezesha gemu vizuri kwa kumkataa jamaa kabisa
ndo maana huwa nasema usitukane misitu kwa ajili ya mti mmoja jamani
Nakubaliana na wew ena they can be back together again
But man should be extra careful kuhakikisha kuwa hilo sio changa la macho tena
Na hapo hata kama ni changa la macho atajua tuu maana mapenzi yana mengi na jamaa anatakiwa kuwa macho sana
maisha ni safari ndefu sometimes huwa tunafanya mambo mengi bila kujua matokeo yake.ila maisha sometimes huwa yanatupa second chance,kama huyo binti ndo furaha yako wewe chukua tu.maana unaweza kuchukua mwingine mambo yakawa hayohayo au akawa na matatizo mengine
angalia furaha ya moyo wako
life ni happiness tu ayo mengine ni ziada tu
so if the girl is your happyness then mchukue dunia ni hii hii hamna alie mkamilifu
hivi watu walozaa pamoja huachana for good kweli?
Kukumbushia muhimu
kama yuko tayari na kukumbushiwa mkewe basi aendelee
na uoaji.
Yaani simple like that!!! Acha kumdanganya mwenziao wewe. Akiharibu hapo ndiyo kaharibu familia yote na ukoo ujao. Is clear kwamba something is wrong kwa upande wa huyo dada. And now she is looking for refuge. Kakosa nyama na sasa hata dagaa atakula. Huyo jamaa aliyempachika mimba na kumuacha, kwa nini alimuwacha? Hapo yawezekana issue isiwe clear sana. Lakini jambo moja is very clear, huyo dada hana mapenzi ya dhati na wewe. Asikudanganye mtu bwana, mapenzi ni two way lane. Kuna give and take. Na mapenzi ya two lane ndiyo msingi wa kilakitu. Kupenda usipopendwa si tatizo. Tatizo ni pale unaposhindwa kukabiliana na hali ya kupenda usipopendwa. Brother give yourself a time, usiwe na haraka. Kutoka kwenye hiyo hali ni process. Siyo kitu cha kuamka usiku mmoja na kujikuta umeshamsahau huyo dada. Kwenye swala la process, patience ina-play a very big role. Weka akilini mwako neno ''patience''. Kila uamkapo asubuhi na pale unapomkumbuka huyo binti sema maneno haya ''ni kipindi cha mpito, nahitaji uvumilivu ili kipite hichi kipindi''. Ikija image yake rudia tena hayo maneno. Fanya hivi kwa muda wa mwezi mmoja. Tricky hapa ni kujipa muda, time is a great healer. Wakati huohuo ujikite zaidi kwenye shughuli zako, ujichanganye na watu baada ya shughuli zako. Tafuta kitabu ambacho kila ukiwa idle utasoma walau paragraph 2. Ni process and you need to work hard for your better. Sometimes is expensive as well. Vilevile unaweza ukajaribu once in day, call one of your sister umsalimie na muongee mambo ya kawaida tu au ya kifamilia kama yapo. After a month let me know.Utashangaa anaweza kuwa mke mzuri sana maana keshaonja joto ya jiwe!
Mchukue.
siku hizi nyama mbichi ina mafua ya wanyama
afu mibuyu imeisha sasa hivi mashetani yanaenda hata kwenye miembe
dont accept to be a test chargeUtashangaa anaweza kuwa mke mzuri sana maana keshaonja joto ya jiwe!
Mchukue.
kaoa au kasogeza?
Wametalikiana kisheria?au kidini? Labda wanataka kusaidiana kusogeza ujana
Mkuu tuwape benefit of doubt na tuwaachie another chance to proove that they love each other
But hapo jamaa awe makini asije akaachwa kwenye mataa for the second time