Eti anataka tusahau yaliyopita..........

It seems hujawahi kula iyo nyama ! Ndo mana una duku duku na ladha yake,ushauri wa bure! Jenga nae ukaribu,mwambie hutaki kukurupa kwenye kuishi nae had pale utakapojitambua maamuzi ya busara na ukiendelea kumsikilizia x wake endapo atataka kurudi response yake itakwaje!Mana jua uyo ni mzaz mwenzake!Akirudi kwa gia ya mwanao waliyezaa!Juu chini unune upasuke watakua marafiki tu insake ya mtoto<ndo mwanzo wa kuanza kukumbisha friendly match zao>,mana uwez jua uwezo wa jamaa adi alikunyanganya tonge la ugali mdomoni mwako tena dak.Ya 90!...
Kwenye kipindi cha ukaribu wenu jaribu kumkata!Umalize kiduku duku chako kinacholeta chemchem ya mapenz kwake! Then upime kama kiwango hiko ndicho utakitaka milele. . .
Ukiona umemkata afu baada ya mda mnavyozid kuwa pamoja hakubambi piga chini,ukiona unamkata afu amani,furaha na upendo unazidi kuwa maradufu,bas jihalalishie goma ilo ujifumulie
nOTE:kuwa na moyo mgumu ukifwata ushauri huu,mana ukitanguliza hisia za kimahaba mbele ka kitambi itakula kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…