Jk hana washauri maikini, waliomshauri hii technique kwamba itapunguza hasira za watu kwa kile alichofanyiwa na NEC, ndiyo hao hao wanaomshauri katika masuala mazito ya nchi yetu na yeye bila hiana hufanya maamuzi. Kwa mtu makini asingekubaliana na huu upumbavu. Hapa unaweza ukaiona kwa usahihi kabisa tofauti ya JK na Mkapa