Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,198
- 2,695
Juzi nilikuwa live kufuatilia utoaji wa tuzo za grammy uko kwa beberu trump
Matukio mengi yalienda sawa kabla ya bwana Ye kuingia na demu wake redcarpet akiwa uchi ad wakatimuliwa
Ila tukio la kuvunja moyo ni beyonce kushinda tuzo la album bora la music wa country š¤£š¤£
Inamaana wamarekan wamefkaje apa
Inawezekana vipi duniani beyonce kuimba country ad ashindetuzo?
Beyonce ni mwanamziki wa studio kipaji chake ni cha kawaida Sana hili la kushinda tuzo limenivunja moyo
Now nasikiliza coat of many colors yake dol Parton
Beyonce rudisha tuzo