Eti Beyonce anatishia kuto-perform katika majimbo yenye ngome kuu za Republicans

Eti Beyonce anatishia kuto-perform katika majimbo yenye ngome kuu za Republicans

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Unajua hawa wasanii wanapokuwa celebrated na kuwa glorified inafika point wanajiona wao ni Mungu-mtu

Sasa anadhani asipoenda kufanya show watakufa njaa?
Screenshot_20241109-212154.png
 
Wasanii na Wanamziki Wengi ni Illuminats na freemasons! Kama sikosei Beyonce ni illuminat!
Kwa hiyo si ajabu illuminats kukiunga mkono chama cha Democrat chama cha Kishetani.
 
Mbeya ikoje mkuu maana napo sipajui sana japo nimefika na kukaa maeneo ya iwambi na mbalizi kwa mda mfupi
Habari za matamasha ya nyimbo za dini na mikutano ya maji ya upako huko kila mtu anatekwa😂
 
Habari za matamasha ya nyimbo za dini na mikutano ya maji ya upako huko kila mtu anatekwa😂
Aah yah hii ni kweli mbeya wanaamini sana kwenye ukiristo which is not bad Kila binadam ameumbwa kuamini kitu flani ambacho kita define mambo magumu ambayo akili ya kawaida ni ngumu kuelewa
 
Aah yah hii ni kweli mbeya wanaamini sana kwenye ukiristo which is not bad Kila binadam ameumbwa kuamini kitu flani ambacho kita define mambo magumu ambayo akili ya kawaida ni ngumu kuelewa
Sio kila binadamu sema baadhi ya binadamu 🤔
 
Unajua hawa wasanii wanapokuwa celebrated na kuwa glorified inafika point wanajiona wao ni Mungu-mtu

Sasa anadhani asipoenda kufanya show watakufa njaa?
View attachment 3148059
Beyonce sijui amekuwaje anajiona kinoma akwende zake,atuachie trump wetu pumbavuu zake simuelewi kabisa siku hizi huyu bidada kwa kweli angekaa kimya tu aachane na siasa ningemzaba kibao
 
Back
Top Bottom