Eti bunge la katiba

julius mahinya

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
1,152
Reaction score
384
Hivi kweli jamani hawa ndio tunategemea watuletee katiba mpya? wameshindwa wote kwa pamoja kujua kuwa madhara ya kura ya wazi ni makubwa kuliko kura ya siri?
Sasa hiyo katiba inayopendekezwa wananchi wanaipigia kura ya siri au ya wazi? kama ni ya siri kwa nini sasa wao wapige ya wazi? kunawatu wamewakilisha tasisi za kidini hivi wanajua swala la imani lilivyo sensitive hawa kweli? eti kura ya wazi? jamani madhara ya kura ya siri ni yapi maana siyaooni badala ya porojo tu ila ya kura yawazi ni haya:-
1. Mbunge kuogopa kufanya maamzi sahihi kwa kuogopa kwenda kinyume cha msimamo wa chama, tasisi(hasa za kidini), kundi lake n.k
2. wabunge kupitisha mambo kwa kufuata mkumbo kisa ameona tasisi yake watu wengi wanaamua lipi basi naye anaenda huko
3.migogoro baina ya mbunge na mbunge, kikundi cha mbunge na mbunge, tasisi na kikundi flani cha wabunge au mbunge n.k
4. zomea zomea kujitokeza ndani na hata nje ya bunge dhidi ya mbunge au kikundi flani cha wabunge
........... n.k
Be serious jamani kura ya siri madhara yake sio sawa na yale ya kura ya wazi kama kule bunge la jamhuri ya muungano ambapo watu walishajua kuna wazee wa ndiooooooooooooooooooooooooooooo na wale wachache wa siooooooooooooooooo
mtu hata mtu akiuliza kauli ya piga tu ni nzuri utasikia wengi ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!
wale wachache sioooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!
ukiuliza wale wanaoafiki bei ya mafuta ya taa kuwa sawa na petrol semeni ndio na wasiafiki semeni sio utasikia wale wengi tunawajua sote ndioooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! wale wachache tunawajua sote siooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!
Nyie leteni mchezo mnadhani ni mdhaha katika mambo haya muhimu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
jamani kura ya siri itawafanya watanzania kusema hili limepitishwa na bunge la katiba ila nje na hapo hili limepitishwa na wapinzani au cuf, cdm aaaaaaaa hili limepitishwa na ccm au hili waisilamu aaaaaa hili wakiristo be serious you guys hii nchi ni yetu sote tuwe wamoja katika hili!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…