Zwangedaba
Member
- Feb 1, 2009
- 99
- 25
Wana JF kuna tetesi nimezipata mtaani kwetu, Eti bunge limeahirishwa kwa kutokana na ukata unaolikabili hakuna fedha za marupurupukwa wabunge....
Kuna aliyesikia hilo pia au news yoyote kuhusu hilo?
Hivi sasa taasisi mbalimbali duniani zinapunguza wafanyakazi wake international ,hivyo hata na sisi tuaweza kujiunga nao na kupunguza idadi ya wafanyakazi katika balozi zetu aidha kuziungasha Balozi iwe balozi anahudumia nchi nyingi ,kwa mfano zile nchi ambazo raia anaweza kwenda na kutembelea nchi jirani bila ya kuulizwa pasi naona nchi hizi zingekuwa na balozi mmoja au wawili tu ingetosha kabisa.
Kwa ufupi kunahitajika punguzo katika serikali ikichangia iwe ya kupunguza wafanyakazi na pia kupunguza mishahara yao.
wana jf kuna tetesi nimezipata mtaani kwetu, eti bunge limeahirishwa kwa kutokana na ukata unaolikabili hakuna fedha za marupurupukwa wabunge....
Kuna aliyesikia hilo pia au news yoyote kuhusu hilo?
Wana JF kuna tetesi nimezipata mtaani kwetu, Eti bunge limeahirishwa kwa kutokana na ukata unaolikabili hakuna fedha za marupurupukwa wabunge....
Kuna aliyesikia hilo pia au news yoyote kuhusu hilo?
sio kweli - uzushi mtupu
Sio uzushi ni kweli, Spika Sitta amethibitisha hilo.