Eti CAG ameshindwa kukagua hati ya CHADEMA kisa kesi mahakamani

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,257
Reaction score
3,383
Vituko vya serikali ya mh.Samia vinaendelea

Mkaguzi anadai hakwenda kukagua Mali za CHADEMA kwa sababu ya kesi mahakamani

Hivi kwani mahakama imekamata Mali za CHADEMA.
 
Naona yupo sahihi, kwa maana huwezi kukagua waliopo kwenye kesi ya mgawanyo wa mali

CAG hawezi kwenda kumkagua Mzanzibari, kwahiyo ikitokea baadhi ya mali za CDM zikaenda Zanzibar sioni CAG akiwa na nguvu za kwenda kukagua huko Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…