Elections 2010 Eti CCM wachukua jimbo la Tarime

Elections 2010 Eti CCM wachukua jimbo la Tarime

Manyema

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Posts
683
Reaction score
1,801
inasemekana msimamizi wa matokeo amemtangaza mgombea wa CCM kuwa mshindi huko Tarime baada ya kurudia kuhesabu kura.
 
inasemekana msimamizi wa matokeo amemtangaza mgombea wa ccm kuwa mshindi huko tarime baada ya kurudia kuhesabu kura.

kwani zinatofautiana na zile za vituoni?
 
Inasemekana au ni taarifa yenye uhakika mkuu? Maana naona sasa mambo mabaya yanaanza...na hiyo Tarime sijui wananchi watayapokeaje matokeo ya namna hiyo. I just hope matokeo yoyote yatakayotangazwa ni sahihi na kweli
 
Kwa Tarime inawezekana. Kumbukeni Mwera naye alikuwa na wapenzi wake binafsi ambao wamemfuata CUF. Chadema na Cuf watakuwa wamegawana kura...Team Work Spirit is needed
 
inasemekana msimamizi wa matokeo amemtangaza mgombea wa CCM kuwa mshindi huko Tarime baada ya kurudia kuhesabu kura.

Dah kweli Nyambali Nyangwine kachukua Tarime-CCM
 
Ni kweli, Nyambari Nyangwine (CCM) ameshinda kwa kura zaidi ya 28,000
 
inasemekana msimamizi wa matokeo amemtangaza mgombea wa CCM kuwa mshindi huko Tarime baada ya kurudia kuhesabu kura.

Wenye akili zetu walishalijuwa hilo mapema!!! Isingewezekana mtu aliyeshinda 2008(Mwera) awe ameshapoteza wafuasi ndan ya muda mfupi!!!!
 
Back
Top Bottom