Eti Diamond kakataa pesa za Lowassa Mil.500, hivi inaingia akilini?

Kukataa inawezekana si inategemea na maonyesho mangapi anataka afanye ???????? (kama anamtaka atembee nae wilaya zote za tz ambazo ni 130+ unadhani inatosha) lakini mbona huwa munaamini magazeti ikiandika habari zinazo muhusu DIAMOND mbona kuna ile ya kiba kupewa tuzo hamukuijadili au ndo yule si supa staa ila ni wa hapahapa.
 
ally k bado sana na atanyooka tu
Sema hujui kama Kiba in msanii wa nne kwa East Africa kuingiza pesa kupitia muziki ,xo hata kama asipopata diri la siasa bado yuko vzur..hata hivyo ukimuweka kiba pande hizi unakuwa umeingia cha kike..?!
 

Mlinzi wa tembo ni msanii wa kitaifa kama dogo janja
 
Gazeti gani yale yenye rangi rangi? mi hainiingii hata matakoni hii habari.
Bora hata angekuwa mwanasiasa!:Mtumbuizaji ambae hata show zake cad za chama haziuzwi hata moja!
Shigongo aache usengerema wake!
 
Naona mnazunguuuuka, m500 ni pesa ya malipo ya show 10 za diamond, sasa kama atalipwa kwa zaidi ya show 10 kwanini asikatae....
 
Hii habari ilitoka wakati lowassa akiwa fisadi kule kwenye rangi ya njano na kijani,ilishangiliwa sana na bavicha hapa na kumpa sifa nyingi Diamond, Leo wale wale wanafiki walimsifia kuikataa wanamponda, siasa za kiafrika bwana, zaidi ya wehu, watu hawaeleweki wanashabikia nini
 
Naona mnazunguuuuka, m500 ni pesa ya malipo ya show 10 za diamond, sasa kama atalipwa kwa zaidi ya show 10 kwanini asikatae....
mkuu daimond amesain mkataba wa kumpigia campaign lowassa hadi wakati wa campaign uishe so this is not true
 
Kama hutaki I we hivyo shika jembe ukalime ama umpelekee mganga kuku na udi..?!
 
Gazeti gani yale yenye rangi rangi? mi hainiingii hata matakoni hii habari.Bora hata angekuwa mwanasiasa!:Mtumbuizaji ambae hata show zake cad za chama haziuzwi hata moja!Shigongo aache usengerema wake!
Kwahiyo we ulitaka kuipata Hii habar kwenye gazeti la The Guardian,kama hutaki I we hivyo jitahidi kuziba nyeti zako lasivyo Hii habari itakuingia..
 
Ninachokijua in kwamba ktk siasa hakuna kula kiapo kwa kile utakachosema ama kutenda,na huwa pocbo kwa mtu kuipinga kauli aliyoiongea Jana..
 
Huyo katumia akili anajua Lowasa hawez shinda, hvo 500m zitakuwa ndo penshen ake ktk muzik, akil kubwa n kuungana na team ta ushimd hata kama atafanya bure


Walianza na UKAWA sasa wana UKIWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…