Eti Diamond kalipwa Miioni 90 'Tigo Kiboko Yao' na wasanii wengine wamelipwa Milioni kumi kumi

mimikaye

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
88
Reaction score
48
Eti kalipwa Milioni 90!

Hivi nyie Milioni 90 mnaijua au mnaropoka tu? Kwanza jamaa kaimba CD Playback na pili nimetoka kuongea na mtu wa Tigo ndani kabisa hamna kitu kama hicho hawawezi wakamlipa Milioni 90 then wengine wapewe Milioni 10. Uzushi uzushi tu ilimradi muonekane mnajua ishu zisizo za ukweli!
 

Uandishi wako nimeupenda sana, unabisha pasipo kubishana na upande wa pili!
 

Mill 90
 
Lazima nikununulie simu ya kukuingiza instagram,nikumbushe!

Huko walikojaa malaya na jobless wanaotukanana siku nzima mi nikafanye nini?? Acha nibaki na Nokia tochi yangu tu unless hiyo pesa nipatie nifungue kibanda cha kuburn cd
 
nenda kakojoe ukalale...ndo nyie nyie red mnasema white

Ni ngumu kuelewa Kama mwandishi kaja na jazba kisha kaanza kutiririka tuu pasina kujuza nini hasa kinaendelea na ni kitu gani kilifanya walipwe hio pesa na ilifanyikia wapi? Unajua wengine wako mikoani na nje ya nchi ila wanapenda jukwaa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…