elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Mil 2 mwisho
Kweli kabisa maana nyimbo yenyewe moja kama unaijua ile video yake ameanzia kuimba chooni.
Nyimbo zilizobaki kaimba Mimi sijazaliwa
kinacho nifurahisha, mhusika hajasema kalipwa mil 90, waliosema wengine anayetukanwa ni yeye.
alitakiwa apele laki mbili
Mill 2 kajenga hii mwenye kulipwa mill 90 kapanga
Kweli kabisa maana nyimbo yenyewe moja kama unaijua ile video yake ameanzia kuimba chooni.
Nyimbo zilizobaki kaimba Mimi sijazaliwa
Tangu 2013 mnatuoneshaga fensi tu ya nyumba
Hahahahaha watu kama hao le baharia anawaita debe tupu mazafantazi, kusoma hawajui ata picha !
Eti kalipwa mil.90
hivi nyie mili.90 mnaijua
kwanza jamaa kaimba cd play back
na pili nimetoka kuongea na mtu wa tigo ndani kabisa
Tatizo ni nini mpaka asilipwe mil 90? Kama wameingiza bil 4 kwenye hio show, kwa nini asipewe hio mil 90?
Wewe unayeijua mil 90 tuambie ikoje mpaka Diamond asipewe..
Does it matter? Inahusu? Unajua contract ilikua inahitaji nini toka kwa diamond?
QUOTE=mimihapauk;11748836] na pili nimetoka kuongea na mtu wa tigo ndani kabisa
labda mil 90 za zimbabwe.
Wee ----- bilioni nne unaijua au unasema tu! Labda kiingilio kilikuwa milioni moja kwa kila mtu!
debe tupu mazafantaz unachonga sana you know!!
Eti kalipwa mil.90
hivi nyie mili.90 mnaijua???hau mnaropoka tu???kwanza jamaa kaimba cd play back
na pili nimetoka kuongea na mtu wa tigo ndani kabisa hamna kitu kama hicho hawawezi wakamlipa mil.90 then wengine wapewe mil.10....uzushi uzushi tu ilimradi muonekane mnajua ishu zisizo za ukweli
Huyo mtu wa tigo angekupa signed agreement kati ya tigo na Diamond ili kuthibitisha malipo sahihi aliyopewa Diamond. Masuala ya kwamba wasanii wote wanalipwa sawa ni huko fiesta wanakopelekwa pelekwa tu. Tigo kila mtu kafanya maongezi na makubaliano kivyake. So kama kuna mtu kalipwa milioni mbili basi ni kulingana alivyokubaliana yeye. Kama kuna mtu kalipwa milioni 90 basi ni yeye na makubaliano yake na tigo. Diamond ni Alikiba ni watu wawili tofauti. Kila mtu ana approach yake katika biashara. Na kila mmoja na minimum payment zake katika biashara. Hata terms and condition zao zinatofautiana.
Kwani tatizo nini?!,hivi kweli ndio unapoteza mda wooote unakuja kuandika kitu kama hiki ili tu ueleweke kuwa kalipwa kias gani!!,saasa basi ndo utambue hivyo kalipwa hio hela,na alitakiwa kwenda nje kucheza show but tigo waliamua kumzuia astoke yaani awepo hapa tz hivyo wakafika hio amount sjui tatzo liko wapi?!!