Eti Diamond kalipwa Miioni 90 'Tigo Kiboko Yao' na wasanii wengine wamelipwa Milioni kumi kumi


Uuuuuwiiiiiiiii alietengeneza hii forum alitengeneza akiwa uchiii sihami jf mpaka nazeeka
 
Huyu jamaa anazuga tu, anataka tujue kwamba na yeye ana connections.... Moreover kwa habari za uongo..

Unakuta habari hizo amepewa na wakala wa Tigo pesa zen anajiona ana connections kubwa sana mjini
 
Kama unaweza unaweza tuuu,.na kaka hujui hujui tuuu..ukweli utabaki palepale
OVA
 
mweh mweh mondi kalipwa milion 90 then katurushia book bee bee tu shwani :shock::shock::shock:
 
Million 90 halafu kina T.I wanapokuja wanalipwa ngapi
 
Wee mbigili kuwa muelewa! Hakuna show inayoweza kuingiza net bilioni nne hapa Tanzania kutokana na hali ya kiuchumi pia eneo la kuweka idadi kubwa ya watu! Hata ulete wasanii wote wakubwa duniani wafanye show moja!

Then wee mazafantazz acha akili za kifesibuku you know!!
 

Sasa kwa akili yako ndogo uliyojaliwa na Mwenyezi Mungu, unadhani Tigo waliingiza sales kutoka kwenye gate collections?

Generally speaking, you have a low thinking capacity... Sitabishana na wewe tena mazanfantaz times 10.
 

Hizi zako ndio wanaitaga akili kisoda. Vitu vingine sio lazima usomee marketing .
 
Tatizo ukiwa na mawazo ya kimaskini unahisi kila kitu hakiwezekani,diamond yupo juu na ndio wakati wake asa nyie team kiba mnampoza mwenzenu kiba kumpambanisha na MTU kama platinum kwq sasa mtamfanya aishi maisha ya stress sana kwa vits kubeba semi trela wakati vice versa is true.
 
Sasa kwa akili yako ndogo uliyojaliwa na Mwenyezi Mungu, unadhani Tigo waliingiza sales kutoka kwenye gate collections?

Generally speaking, you have a low thinking capacity... Sitabishana na wewe tena mazanfantaz times 10.

mkuu naic utakua unabishana na kitoto cha sekondary...maskini kanabisha kitoto sana.yaaan adi kuna mda nacheka.hata kwa akili ndogo tu huwezi fikilia kweli kwa kampuni kubwa kama tigo iandaa show au tamasha kubwa kama ilo kwa zaidi ya mwezi mzima wategemee mapato ya milangoni tu??kweli kweli shule ni shida!!what s 4biln kwa kampuni kama tigo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…