Eti Diamond kalipwa Miioni 90 'Tigo Kiboko Yao' na wasanii wengine wamelipwa Milioni kumi kumi

Kuna kipindi walisemaga Domo anasafirish madawa ya kulevya kwani kwa pesa anayolipwa kwenye show za.nje ya nchi,si rahisi kuwa na pesa anazodaiwa kuwa nazo.Pia nilimsikia babu Tale akisema.luwa Chibu analipwa minimum 10,000/-USD na kuendelea kwa kila show anazofanya.nje ya nchi.sasa imekuaje tena now analipwa mil.90 kwa.show ya ndani???tuache ushabiki jamani mil.90 ni nyingi sana bora hata wangesema mil.20 kidogo ingeleta sense.daaah Tanzania.....wonders shall never stop
 
maisha ya wasanii sii mfano mzuri kwa jamii....
 

Ahahahaha ahahahaha watu na fani zetu miaka miaaa no kustaafu wala kuacha
 
Last edited by a moderator:
Hapa tunapaswa kufahamu kwamba kuna mambo mengi yanaangaliwa kabla ya kupanga kiwango cha kumlipa msanii. Mathalani, kwenye filamu, mwigizaji anayecheza embarrassing scenes huwa analipwa pesa nyingi zaidi hususani kama ni staa! Leo hii Wema akicheza scenes za kumdhalilisha ni lazima umlipe maradufu kuliko kama angecheza scenes za ofisni. Hakuna asiyefahamu udhalilishaji anaoupata Diamond jukwaani... hawa Tigo nao, walifahamu kabisa what would happen kwa Diamond... katika mazingira kama hayo, unless kama mtu huifahamu vizuri entertainment industry ndipo unaweza kukataa kata kata kwamba Diamond kalipwa mkwanja mrefu!! Vyovyote iwavyo, lazima Tigo walilipia in advance embarrassment ambayo kila mtu aliitarajia kwamba Diamond angekutana nayo.

Jambo lingine ni kwamba kuna tofauti kubwa sana kati ya show zinazokuwa chini ya kampuni/promoters wa kawaida na show zilizo chini ya multinational companies kama Tigo! Don't expect kwamba pesa itakayokuwa inalipwa na Clouds kupitia Fiesta yao inaweza kuwa sawa na inayolipwa na Tigo, Airtel, Coca cola and the like! Hizi kampuni zinakuwa na reference ya viwango vyao tayari kwa level ya wasanii husika! By 2013, Tigo ingemchukulia Diamond kama Local Artist but by 2014/2015, anakuwa considered as International Artist. Hizi multinational companies zina viwango vyao kwa local and international artists. Yote kwa yote, ikiwa habari hizi za Tigo ni shocking news, what about taarifa ambazo ziliandikwa na media za Kenya kwamba Diamond alikunja $100,000 kwenye show ya Kigali?
 
kama kibba kapewa 10m basi Dai ilipaswa apewe 900m tigo hawakufanya fair (wamelinganisha kamfereji na bahari)
 
kwamba nani kalipwa nini ni siri ya kimkataba kati ya pande mbili zinazohusika. na ingawa kila msanii kuna kiwango chake ambacho hutangaza kuwa ana-charge kwa show lakini bargaining siku zote ipo.

Kwa hiyo si ajabu kukuta kuwa aliyelipwa kiasi kikubwa na yule wa kiasi kidogo tofauti ikawa hata milioni 5 tu!
 

Watakuwa wamekuelewa! !
 

kwa hiyo ulitaka mtu wa tigo akwambie ukweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…