Kama wote ni waaminifu na mnaaminiana huwa hamna hofu yoyote, wa shift ya usiku anaenda na wa mchana anaenda ila tu mawasiliano na huduma ya sex inaendelea kama kawaida yenu kutokana na ratiba mlizojipangia au wote mkiwa pamoja mnapeana tu bila shida yoyote.