BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Apr 7, 2013 Thread starter #2 Tamko la Waziri wa Elimu ni kua eti Wanafunzi walifeli sana mana haka kamchezo kakuiba pepa kalithibitiwa
Tamko la Waziri wa Elimu ni kua eti Wanafunzi walifeli sana mana haka kamchezo kakuiba pepa kalithibitiwa
L Lolchala Member Joined Feb 9, 2013 Posts 14 Reaction score 0 Apr 7, 2013 #3 Hakuna Mtaala unaoeleweka,Vitabu Lukuki,haileweki kipi ni kipi. Isifanyike biasha kwenye Swala la Elimu.Waalimu Wanapuuzwa-Sababu hakuna mtptp wa Mbunge anayesoma Shule Kata wala wa Waziri.Wachache wanaifaidi Nchi hii.
Hakuna Mtaala unaoeleweka,Vitabu Lukuki,haileweki kipi ni kipi. Isifanyike biasha kwenye Swala la Elimu.Waalimu Wanapuuzwa-Sababu hakuna mtptp wa Mbunge anayesoma Shule Kata wala wa Waziri.Wachache wanaifaidi Nchi hii.
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Apr 8, 2013 Thread starter #4 Ni kweli kabisa
W Wandugu Masanja JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 1,574 Reaction score 522 Apr 8, 2013 #5 sababu kubwa ya wanafunzi kufeli ni mtihani Kama hakuna mtihani wanafunzi wote watafaulu
seniorgeek JF-Expert Member Joined Sep 18, 2008 Posts 500 Reaction score 128 Apr 8, 2013 #6 Kwenye hiyo picha, that's racism.
K kariikenya Member Joined Mar 30, 2013 Posts 17 Reaction score 0 Apr 8, 2013 #7 Mkuu yote kwel mfano kaskul ketu kaKata ticha m1 head tu no maktaba,alaf unategemea form4 wafaulu kwa hali hii?!Mhh!
Mkuu yote kwel mfano kaskul ketu kaKata ticha m1 head tu no maktaba,alaf unategemea form4 wafaulu kwa hali hii?!Mhh!