Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Huyu ni mimi kabisa 😀Mimi huwa sikaribishi watu room kwangu, tutakutana huko huko mabarabarani, then kila mmoja atashika njia kurejea kwake[emoji4][emoji4]
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
[emoji1787] kaunta mama..Huyu ni mimi kabisa [emoji3]
Anaeingia kwangu ni mdogo wangu na rafiki angu mmoja hivi wa kike. Walio baki tutakutana kaunta
KhaaUkiingia geto kwangu kwa ME unapewa kiti na maji ya kisima kwa KE unakaa kitandani na soda anajichagulia toka kwenye fridge
Uchoyo sio poa arifuMimi huwa sikaribishi watu room kwangu, tutakutana huko huko mabarabarani, then kila mmoja atashika njia kurejea kwake[emoji4][emoji4]
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mkuu ile avatar yako ya mwanzo ilikuwa inaleta mzuka sana, naomba uirudisheMkuu naomba unitafsirie nini maana ya ghetto?
Nina zawadi ya mwaka mpya, naomba uje geto kwangu kuichukua.Huyu ni mimi kabisa [emoji3]
Anaeingia kwangu ni mdogo wangu na rafiki angu mmoja hivi wa kike. Walio baki tutakutana kaunta
[emoji2][emoji2] selfishUkiingia geto kwangu kwa ME unapewa kiti na maji ya kisima kwa KE unakaa kitandani na soda anajichagulia toka kwenye fridge
Nina zawadi ya mwaka mpya, naomba uje geto kwangu kuichukua.
Mwana unakunja sanagheto ni mahali patakatifu,,
hakuna msela kuleta demu wake amle kimasihara gheto kwangu.....