Eti hata wewe upo katika kundi hili?

Joined
Jan 3, 2016
Posts
20
Reaction score
2
Yaani unapenda sana wanawake warembo je! Hao wasio warembo ni kwa ajiri ya nan? Majibu tafadhari
 
Kwa ajili yako wewe, Na wenzio wasio jiamini kwa kuogopa kutokea warembo (madomo zege) kama wewe............
 
Kweli kuanzisha uzi ni kazi ngumu sana aiseee...😀
 
Yaani unapenda sana wanawake warembo je! Hao wasio warembo ni kwa ajiri ya nan? Majibu tafadhari
Urembo unatofautiana sana na urembo ni tafsiri moja pana sana kulingana na tamaduni mila na desturi
 
"Heti" ? Mwalim wako alipata shida sijui serikali ilimuongezea mshahara!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…