ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Kwa maisha haya wamama mtalalamika mpaka Beijing kwa mala ya pili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee, hatari sana!Kwa maisha haya wamama mtalalamika mpaka Beijing kwa mala ya pili. View attachment 1183254
unaihusudu?Apple Punch
Hapana Mkuuunaihusudu?
Nguvu za kiume zinakuwa determined na mwanamke...Nguvu za kiume n uwezo wa kumudu mchezo zaidi ya lisaa limoja,kama ww ni wa nusu saa basi ujue huna nguvu za kiume.
Wabongo bhana kila kukicha mnawaza nguvu za kiume badala ya kuwaza nguvu za kiuchumi,binafsi nishapata watoto wangu watatu kilichobaki ni kutafuta hela niwahudumie nyie wavulana endeleeni kupambania nguvu za kiume ,yani unakaa unashinda na **** papuchi
Nguvu za kiume zinakuwa determined na mwanamke...
Unakuta mwanamke ana bwawa unapiga hata mashine saa moja yupo tu anakutolea macho..
Lakini kuna mwanamke dk 7 nyingi alishafika zake...kwahio hata kama uwezo wako ni dk 10 unaonekana kidume..
Swala la nguvu za kiume inabidi wanawake ndio wajitafakari sio wanaume tena
kweli kabisa,Wengi wamesuguliwa mno, na kibaya zaidi unamkuna anawaza kuwa hivi atapewa kiasi gani cha pesa? Hisia hakuna anawaza pesa atapanda kilimanjaro?
Huku kwetu Nguvu za kiume ni uwezo wa kumudu majukumu yakifamilia hususani katika kipindi hiki cha vyumaNguvu za kiume n uwezo wa kumudu mchezo zaidi ya lisaa limoja,kama ww ni wa nusu saa basi ujue huna nguvu za kiume.
Kama nguvu za kiume hakuna nguvu ya kujenga uchumi inatoka wapiWabongo bhana kila kukicha mnawaza nguvu za kiume badala ya kuwaza nguvu za kiuchumi,binafsi nishapata watoto wangu watatu kilichobaki ni kutafuta hela niwahudumie nyie wavulana endeleeni kupambania nguvu za kiume ,yani unakaa unashinda na **** papuchi