Eti hatuna nguvu za kiume kwa milo hii

ichumu lya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
2,651
Reaction score
2,790
Kwa maisha haya wamama mtalalamika mpaka Beijing kwa mala ya pili.
 
Wabongo bhana kila kukicha mnawaza nguvu za kiume badala ya kuwaza nguvu za kiuchumi,binafsi nishapata watoto wangu watatu kilichobaki ni kutafuta hela niwahudumie nyie wavulana endeleeni kupambania nguvu za kiume ,yani unakaa unashinda na **** papuchi
 
Nguvu za kiume n uwezo wa kumudu mchezo zaidi ya lisaa limoja,kama ww ni wa nusu saa basi ujue huna nguvu za kiume.
Nguvu za kiume zinakuwa determined na mwanamke...
Unakuta mwanamke ana bwawa unapiga hata mashine saa moja yupo tu anakutolea macho..

Lakini kuna mwanamke dk 7 nyingi alishafika zake...kwahio hata kama uwezo wako ni dk 10 unaonekana kidume..

Swala la nguvu za kiume inabidi wanawake ndio wajitafakari sio wanaume tena
 
unajua kama huna nguvu za kiume utadharirika hata uwe na mamillion yako ndani,utashangaa wasichana wanakuwa marafiki zako mana wanajua hawana tofauti na ww, watashinda kwako na watalala kwako ,utashangaa mwisho wa siku wanaanza kukutafutia wanaume wakuzibue mtalo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengi wamesuguliwa mno, na kibaya zaidi unamkuna anawaza kuwa hivi atapewa kiasi gani cha pesa? Hisia hakuna anawaza pesa atapanda kilimanjaro?
 
watu wanaudharau urojo, lakini mie ninapokula urojo kama siku 3 mfululizo kila jioni, hilo kojo lake linajaza kikombe cha kahawa, na nakuwa na speed ajabu, sasa sijui kwanini watu wanaudharau
 
Nguvu za kiume n uwezo wa kumudu mchezo zaidi ya lisaa limoja,kama ww ni wa nusu saa basi ujue huna nguvu za kiume.
Huku kwetu Nguvu za kiume ni uwezo wa kumudu majukumu yakifamilia hususani katika kipindi hiki cha vyuma
 
Nilishalisema hili na ninalirudia tena.

Mwanaume fanya utakapoweza, vaa sepa. Wewe mtu kashindwa kuridhika na alivyopewa na Mwenyezi, wewe ni nani hata uweze
 
Kama nguvu za kiume hakuna nguvu ya kujenga uchumi inatoka wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…