neema pita
Member
- Apr 26, 2012
- 30
- 6
Kwa Tanzania inawezekana!Habari zenu wana JF, kuna rafiki yangu aliomba nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi hakuitwa kwenye interview kuna rafiki yake kamuunganishs na mwalimu wa CCP, kamwambia baada ya kuanza mafunzo atampa nafasi ila aandae laki 7 eti hii inawezekana watu wameanza mafunzo ikapatikana nafasi au anataka kumkombea hako ka laki 7 kake?
Habari zenu wana JF, kuna rafiki yangu aliomba nafasi ya kujiunga HIO KIBONGO BONGO TU.
Akili ya Kuambiwa changanya na zako....Juzi si umesoma kwamba kuna mke wa kigogo wa polisi kawatapeli watu mkwanja?Habari zenu wana JF, kuna rafiki yangu aliomba nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi hakuitwa kwenye interview kuna rafiki yake kamuunganishs na mwalimu wa CCP, kamwambia baada ya kuanza mafunzo atampa nafasi ila aandae laki 7 eti hii inawezekana watu wameanza mafunzo ikapatikana nafasi au anataka kumkombea hako ka laki 7 kake?
Akili ya Kuambiwa changanya na zako....Juzi si umesoma kwamba kuna mke wa kigogo wa polisi kawatapeli watu mkwanja?