tajiri wa mwanza
Senior Member
- Mar 1, 2017
- 138
- 226
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi hiyo vipi!!!Ndio hizohizo wamebadilisha regime!
Kwani vipi
Huwa Efavirenz ikitumika ingredient nyingine yyt ambayo ni antiretroviral inakua expanded post-exposure prophylaxis.....ila pia Lamivudine inatumika kutibu hepatitis-B ila at lower doses that that as PEP
Vidonge vya ARVs ndo hivyo hivyo Vinavyotolewa kama PEP...
Vidonge vya ARVs ndo hivyo hivyo Vinavyotolewa kama PEP...
TOfauti ni kwamba PEP(ARVs) Zinatumiwa kwa Siku 28 bhasi.