Eti hii ni ARVs au PrEP msaada

Sasa hivi ARV'S ndio hizohizo popote ukipata exposure
 
Nyie watu acheni hayo mambo ya kufukunyua handbags za wapendwa wenu, mtakuja kufa na pressure bure.
 
Hizi thread zako hapa chini ni kweli mikasa yako ama chai tu? Maana kwenye nyuzi zako umesema uko fresh baada ya kupima. Sasa hivo vidonge unauliza kwa niaba ya mtu flani?Tatizo JF sasa hivi utani mwingi sana kwenye serious issues.

Vipimo vya MRI,ultrasound na scanner zinaweza kupima maralia au HIV ?

Mrejesho kuhusu vipimo vya HIV

https://www.jamiiforums.com/threads/nasubiri-majibu-ya-vipimo-vya-vvu.1233246/

Niko posta hapa ANGAZA ni maeneo gani?

Dua zenu kesho naenda kupima HIV kwa Mara ya kwanza
 
Haaaa mwaka huu nyuzi za kufumania ma arvs zimekuwa nyingi na hiki ni kielelezo tosha kuwa taifa linaenda kuangamia kwa gonjwa hili hatari la UKIMWI
 
Kuleni lishe nzuri muushinde ukimwi wenu badala ya masumu hayoooo...
 
Aisee hizi nyuzi za vidonge mbona zimekuwa nyingii hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…