Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Sep 15, 2020 #1 Watu wanane wauawa na polisi hivi hivi huko Kenya. Halafu jamaa bila haya wanajisifu eti wao ni vinara wa demokrasia. Hata sijui ni demokrasia gani hawa jamaa wanaoiongelea.
Watu wanane wauawa na polisi hivi hivi huko Kenya. Halafu jamaa bila haya wanajisifu eti wao ni vinara wa demokrasia. Hata sijui ni demokrasia gani hawa jamaa wanaoiongelea.
joto la jiwe JF-Expert Member Joined Sep 4, 2017 Posts 26,117 Reaction score 46,617 Sep 15, 2020 #2 Wameshakubali kwamba wamechanganyikiwa hawajui la kufanya
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Sep 15, 2020 Thread starter #3 joto la jiwe said: Wameshakubali kwamba wamechanganyikiwa hawajui la kufanya Click to expand... Watakoma safari hii hawa
joto la jiwe said: Wameshakubali kwamba wamechanganyikiwa hawajui la kufanya Click to expand... Watakoma safari hii hawa
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Sep 15, 2020 #4 Ingetokea Marekani ungeona Wakenya walivyo kimbelembele kuandamana ila nchini kwao wako kimya.
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Sep 15, 2020 Thread starter #5 rodrick alexander said: Ingetokea marekani ungeona wakenya walivyo kimbelembele kuandamana ila nchini kwao wako kimya Click to expand... Haya majitu sijui yakoje yaani.
rodrick alexander said: Ingetokea marekani ungeona wakenya walivyo kimbelembele kuandamana ila nchini kwao wako kimya Click to expand... Haya majitu sijui yakoje yaani.