Eti hili gari ni dola za kimarekani laki saba

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuqa,

Yani binadamu hapana.

Porshe Carrera GT bei yake ni dola laki saba za kimarekani baada ya kodi kabla ya kodi 500k$ karibia billion 2 madaf. Na kuna masenge yamenunua haya magari. Unajiuliza why? mbona watu wamekosa utu na hofu ya Mungu kuchezea pesa namna hii.


Kwanza gari lenyewe linasura mbaya. Viti ni vya wawili tu. Halafu halina hata buti sijui ukienda shopping utaweka wapi vitu. Wazungu wamekuwa watu wa hovyo sana.


Hata kama ni class na kusifiwa huu ni upuzi. Hata renji na v8 haifikii huko.

Yani kagari kadogo kabaya kanazidi hadi thamani ya nyumba? Eti kwa kuwa kametengenezwa na material za thamani. Fikiria nyumba ya million mia tu ilivyo na thamani msingi nondo na takataka zote.


narumuk
 
La kipuuzi kabisa ...bora hata escudo litakuwa na afadhali...
 
kila mtu uwezo wake wa kujikuna unategemea makucha aliyonayo.👀
Ila pia ikumbukwe kuna binadamu wengingine wengi zaidi ya asilimia 90 mlo wa uhakika kuupata ngumu. Hawa 1% percent hawajaligi kabisa. Kuna maduka uswis na Paris soksi tu euro 400. Saa ya mkononi euro elfu 30. Na bado masenge yananunu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…